Umetukuka Lyrics – Sifa Voices

Umetukuka umetukuka bwana umetukuka bwana x2

Umetukuka zaidi ya falme zote
Nguvu na uwezo zimikononi mwako
Pokea sifa bwana
Umeinuliwa
Umetukuka umetukuka bwana

Umetukuka umetukuka bwana umetukuka bwana x2

Uliumba mbingu na nchi kwa uwezo wako
Na vyote vilivyomo kwa nguvu na uwezo wako
Hakuna mfano wako
Wewe ni Mungu mkuu
Umetukuka umetukuka bwana

Umetukuka umetukuka bwana umetukuka bwana x2

0 comments

Post a Comment