Ndi mwihia ona wanyona…
Ndi mwihia ona wanyona…
Kuma riria ndaciarirwo
Ndi mwihia ona wanyona..
Ni tha cia Ngai cianginyiire
Akiruta muruwe, niguo ndure
Akiambwo mutharaba ini niguo ndure
Agikua agithikwo niguo ndure
Akiriuka niguo ndure
Chorus:
Ii ndimurihire thiiri (Nii)
Aa ndimurihire thiri
Ii ndimurihire thiri (ni Jesu)
Aa ndi murihire thiri
Ii ndimurihire thiri
Tangazo, tangazo kwa Ibilisi
Mimi sio mateka tena, mimi sio mtumwa
Pale Calvary nililipiwa madeni yangu
Pale msalabani nikawekwa huru
Uhai wangu umelipiwa gharama
Chorus
Amani yangu nimelipiwa gharama
Furaha yangu nimelipiwa gharama
Afya yangu nimelipiwa gharama
Kuishi kwangu nimelipiwa gharama
Pale msalabani Calvary…
Chorus
Nimelipiwa madeni yote
Nimelipiwa madeni zangu
Nimelipiwa madeni yote
Nimelipiwa madeni yangu
Ukiona ninafurahia (nimelipiwa)
Ukiona ninashangilia (nimelipiwa)
Ukiona nina (nimelipiwa madeni zangu)
Chorus
0 comments
Post a Comment